Inbox (1)

The best thing ishawahi happen kwa life yangu, ilianza ile day ulini-request ka friend. Tukaanza kuchat na kupoke. Lakini staki risk ya wewe kubreak up na manzi wako, ndo lazima tuendelee kutumia inbox! Nakufeel rafiki yangu…

Themed on Nakufeel ad [Via Sheba Love – Facebook]

Advertisements

Mayai ya kukuI was busy minding my own business at a food joint sometime when a gentleman marched in and loudly made his order.

What followed was one of the silliest exchanges I’ve heard. It’s as if that one opportunity is all we needed to break the silence. . .

> WEITA!! NIPE MAYAI YA KUKU!

> AIII KWELI HAPA WANAUZA GANI INGINE?

> ATI MAYAI YA KUKU? SI USEME UNATAKA YA PAKA

> EEEEH AMA WAKULETEE MAYAI YA MTU . . .